Heri imekwisha!

Kuishi nje ya mji kuna raha na karaha zake haswa ndani ya Bongoland! Huku kwa wenzetu ukikaa nje ya mji unaweza uwe mbali na night clubs, cassino, au maduka makubwa lakini huduma zote muhimu utazipata tena katika ubora ule ule kama wa mjini  though your Gynecologist can be your very next door  neighbor ??   Basi, hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika njia ya kuingia nyumbani kwa wazazi wangu wakati wa mvua kunyesha wiki iliyopita. Undogo wa kule ni udongo mfinyanzi unateleza balaa wakati wa mvua. Yani ukishatoka barabarani kuna kipande hapo cha mtaa wa ‘Utegi’ basi unaweza ukatumia masaa kutoka kama ukikwama. Siyo kikubwa sana lakini kinatoa jasho hata wenye uzowefu wa kuendesha kama unavyoona hapo  ☝☝ gari imegeuka kabisa!

“Peeping through my up stairs window at Kibada Villa this morning, rain is pouring like hell. The road is my first concern, my hard working, loyal, very honest Supervisor Daudi worked the whole night piling and spreading kifusi with his team, but unfortunately a loaded truck once again got stuck!!” Huo ulikuwa ujumbe wa mzee Igogo hapo juzi kati
Sasa juzi kati mvua ikapungua, mzee Igogo akaamua kuita wamwaga kifusi  ☝☝ ili kutengeneza barabara kwa kuweka kifusi juu yasikwameje?! Yani yalikwama na kuzuia magari kutoka ndani na kuingia ndani ya mji??  Mzee Igogo akanitumia mag kwa WhatsApp akisema ” The Kibada Villa access desaster continues in a bigger way. Loaded trucks with morrum for making the road passable, are stuck along the the road, blocking us completely from going either way by our vehicles. Me and Lawyer Rhoda are Victims, I think of pleading to Hon. Makonda the RC for sending us rescue helicopter!!!???????” Mtu anatamani kumuomba Rc Makonda msaada wa helicopter ??? Siyo vyakuchekesha lakini inabidi maana shughuli zako zote za uzalishaji zinakwama kwasababu ya miundo mbinu mibovu!! Jamani ni karne ya 21  hii shouldn’t we have lami kila eneo lenya makazi ya watu?? just imagine kama kungekuwa na mtu anaumwa uchungu wa kuzaa ingekuwaje? Brother Paul Makonda embu tupigie debe basi nasisi kwenye hii mitaa!  Umeme tulivuta wenyewe baada ya kuona hatutaweza tumia genereta milele kwa kusubiria Tanesco watuwekee umeme. Sasa basi hili la barabara simtufikiriapo basi?! eti Dr Magu haswa kwenye ule mgao wa 1.5 trillion ?? Mimi sijasema ni Mh Zitto huyo ?‍♂️?‍♂️Sijui kama mvua zimekwisha msimu wake au zimepumzika sisi tunashukuru Mungu maana sasa magari yameweza kutoka na kifusi kumwagwa. Mwezi uliyopita Mzee Igogo alisawazisha hiyo barabara vizuri kabisa akijua hiyo itasaidia wakati wa mvua lakini jitihada zake hazikuzaa matunda!

Leave a Reply