alphaigogo.com
Hongera bwana na bibi Mandela! - alphaigogo.com
Hongera Mr na Mrs Mandela kwa kufunga ndoa takatifu. Mwenyezi Mungu awe ndio ngao na kimbilio lenu wakati wote. Hongera sana Mzee Igogo na vijana wake ?? kwa faida ya wasomaji wangu, Mandela ambaye ni bwana harusi yeye ni msaidizi wa wazazi wangu huko nyumbani. Wiki iliyopita siku ya Juma Mosi alifunga ndoa na lazizi wake huko Kibada, Dar, Tz. Waliporudi
Alpha Igogo