Hongera sana aaaaa LB!……ACCOLADE 2017 Creative Designer and Fashion Icon Of The Year!


O’Lord! Nashindwa hata lakusema maneno yameniishia kwani hizi picha na video zote zinaeleza kwa kina na vizuri kuliko ambavyo ningeleeza mimi! Nafuraha kwakweli super happy for Linda na LB coutureĀ  brand in general! Ombi langu na faraja yangu ni lele like la siku zote LB izidi kwenda mbele, idumu milele na hii familia ibarikiwe milele zote!……. Najua bado sijawahi waungisha mkono, lakini msihofu nitawaungisha tu! Subira yavuta kheri ?? Mbarikiwe sana.

Ms LB: The ACCOLADE 2017 Creative Designer and Fashion Icon Of The Year

Beautiful! Lovely picture of mama na mwanae! Pendeza sana.

Leave a Reply