alphaigogo.com
Hongera sana Isaka na Sarah! - alphaigogo.com
Mr and Mrs Isaka Alexander Olung'a Igogo Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Wamehalalishwa duniani na Mbinguni yakwamba wawili hawa ni mwili mmoja! Sarah akila kiapo kitakatifu Agano hili takatifu lilifanyika siku ya Jumosi tarehe 05 /08/2021 katika kanisa la viziwi lililopo huko Bunguruni, Dar es salaam. Tunawaombe baraka nyingi sana katika familia yao hii mpya walio ianzisha! Bibi harusi Bwanaharusi akihakikisha je
Alpha Igogo