Hongera sana Jokate!……#MsusiWao

screenshot_2016-09-27-23-21-17-1Ndoto yetu ni kuona wasusi Tanzania wanakuwa na umoja wao wakifanya vitu vikubwa zaidi. Wawe na kiwanda chao, tovuti yao, wapendane, wasusi wasiokuwa na maeneo rasmi wadau mbalimbali tuwasaidie wawe na eneo la kutumia ujuzi wao kupata utajiri wa maisha. Msusi wao ni jukwaa la kuwaunganisha na kuwakumbusha kuwa wana thamani na lazima wajithamini, wasijichukulie poa. Twende sasa ?? #MsusiWao #UjuziWakoAjiraYako

fb_img_1475077308914fb_img_1472436063790Embu tumuunge mkono mrembo wetu! Jamani si inapendeza sana kuona binti mrembo kama Jokate anajitambua namna hii?! Anakuja na mawazo chanya ya kuendeleza sector za ajira zisizo rasmi! Kwakweli anahitaji pongezi na ushirikiano wa hali ya juu!……….Wewe mwenzangu unaye lalamika kila siku kuhusu mambo yalivyo ndani ya nchi je wewe umefanya nini au unafanya nini kuendeleza nchi yako?! Tafakari chukua hatua!…………Usisahau kununua ticket yako ?screenshot_2016-09-28-10-42-18-1

Leave a Reply