alphaigogo.com
Huwezi copy personality ya mtu! - alphaigogo.com
Regrann from @mspaulsen - You can copy everything about a person but not her personality its a God given. Just be yourself ??utachekesha........ - #regrann Mmesikia hayo maneno toka kwa Madam Rita? Personality ya mtu ni kama DNA huwezi iga wala huwezi kuwadanganya watu! Acha maisha ya kuiga iga kuwa wewe, acha watu wakujue, wakupende, na kukuheshimu kwa kuwa
Alpha Igogo