Huwezi kumjua mtu kwa kuongea na wambea na wapika majungu!

fb_img_1481684952956Hakuna kitu naheshimu kama mtu kuniuliza kitu mimi mwenyewe haswa pale linapo nihusu! Sasa uwamuzi wa mtu kuamini ninacho kwambia hiyo ni juu yako mwenyewe! Pia uwamuzi wa wewe kutokubadilisha story hiyo ni juu yako mwenyewe!! Mimi nitakupa jibu lile ambalo unahitaji kujua!……..Naona kuna watu wanapenda kujua mtu kwa majungu then wakija kugundua kuwa walicho aminishwa siyo kweli wanashindwa ku-swallow their ego nakukubali kuwa walikosea!……Yani kama unaswali uliza siyo unaanza umbea au majungu! Kwa mfano, wewe leo hii utoke ukamuulize babydad (mfano tu ?) juu  yangu mie unafikiri atakwambia nini?! Unless yupo 100% happy na maisha yake basi atasema ukweli lakini kama sivyo tegemea negativite tu!….. Mfano mwingine, wapika majungu wakazusha natafuta “Manager” na huyo Manager ndio atakuwa mume wangu ???? what a JOKE! Unabaki unajiuliza nani nilimwambia hilo swala? Yani nikaona watu wanatafuta kila aina ya attention kwangu ili nimchague kuwa “Manager” wangu!! Jamani, ngoja niseme leo SIJAWAHI KUMWAMBIA MTU YOYOTE YULE DUNIANI KUWA NATAFUTA MANAGER!! Never!! Nakama ningekuwa nataka Manager basi ninao ndugu ambao wako very qualified wangeweza fanya kazi hiyo na siyo mume wala mpenzi wangu!!……Kamwe haito tokea kuwa mume wangu au mpenzi wangu kuwa Manager wangu katika mambo yangu hata siku moja! He will always be my number one Adviser and Consultant but never my Manager! Nami nitafanya the same to him!  I will do everything to make sure anafanikiwa kwa mambo apendayo but I will never step in his spotlight! Mume wangu atakuwa muwe wangu na rafiki yangu mkuu and nothing more! Tusipende kukariri mambo, just so and so has done that haimaanishi na mimi Alpha has to do that!! We will be business partners but only one person will be the front-runner! Tutakutana kwenye board meetings n.k but not in the same office everyday!! Nope! Learned it very well from my parents! Kwanza wanaonijua vizuri huwa sipendi kabisa mambo ya ku-copy na ku-paste!! Na ndio maaana kuna watu hawalali thinking what is Alpha up to?! Reason behind hawajawahi kuona mtu ana blog kwa style yangu na wamekuwa so threatened with me! Nami nacheka tu because it wasn’t meant to make sense to you, its my thing for God’s sake, relax!! And No, I don’t have to do things according to your schedule!! Get a life please!!……..Anyway, siku zote kuwa unique usipende kuiga iga! Napia jifunze kumuliza muhusika vitu vinavyo muhusu huyo mtu ili umjue from one-one experience! Hepuka umbea na majungu!!

Leave a Reply