Ivana Trump: I am First Lady Trump

#Feud in the WhiteHouse........Mambo hayo! Who does he belong to and whos is the "first"?!  Mipasho ndani ya WhiteHouse! Kweli wanawake wote ni sawa hata uwe nani! Wakati mwingine anasema sasa nini mimi ndio mke wake wa kwanza! Mwingine anasema haijalishi kwani mimi ndio First Lady ??? shughuli imewapata washughulikaji ?? yale yale ya Kanye West na Ray J ? ......Kama huelewi hiyo lugha ni hivi aliyekuwa mke wa kwanza (wamesha achana) wa Donald Trump amabye pia ndio mama wa watoto wakubwa watatu wa Mr Trump ambaye anajulikana kama Ivana Trump (hakubadilisha jina baada ya divorce) anasema yeye ni first lady wa Mr Trump kwani ndiye mke wake wakwanza na ndio mama wa hao watoto wenye maadili mazuri! Sasa mke wa Mr Trump wa sasa (mke wa tatu) ambaye ni First Lady Melanie Trump anasema so what!?! kwani yeye ndio First Lady wa Marekani! Mambo ya "title deed"  hayo ?? msifikiri ni kwa Zari na Hamissa tu hapana! Mpaka kwenye WhiteHouse ya Marekani ?? Bora hata hawa wanarushiana vijembe kwa millionaire sasa wengine mtukanane kwa mwanaume wa $50 anaye ishi kwa pesa ya paycheck to paycheck kama akina Alpha hapa inahusu ?? mwanaume anaye abudu LIKES kwenye Facebook na followers kwa Instagram ?? pole zenu! Mie nipe kwanza ATM card yako ndio nitafanya huo ujinga. mkono mtupu haulambwi jama ??  ......Nafikiri wakati Melanie Trump anarusha mipasho kwa kutumia wimbo wa "The boy is mine" naye Ivana Trump akatumia wimbo wa "he wasn't a man enough for me" kama ifuatavyo -:

Mr Trump and First Lady
You need to give it up. Had about enough It's not hard to see The boy is mine I'm sorry that you Seem to be confused He belongs to me The boy is mine


Mr Trump and First wife
Who do you think I am? Don't you know that he was my man? But I chose to let him go So why do you act like I still care about him? Looking at me like I'm hurt When I'm the one who said I didn't want it to work Don't you forget I had him first? What you thinkin'? Stop blamin' me He wasn't man enough for me If you don't know, now here's the chance I've already had your man Do you wonder just where he's been, yeah? Not be worried about him Now it's time you know the truth I think he's just the man for you

Haya mchukuwe notes za jinsi ya kulea watoto haswa nyie wenye pesa zenu!

Leave a Reply