Je, anaweza endeleza jitihada na maono yako? Au……..!

Nasema nawe!! Yes, wewe mwanaume au mwanamke ambaye Mungu amekuonyesha wito wako na kukutimizia ndoto zako katika hii dunia!! Je, huyo mwanamke au mwanaume ulienaye ataweza kuendelea jitihada na maono yako baada ya kifo chako? Au ndoto zako, jitihada na maono yako yote yatazikwa na wewe?!! Will she be able to carry on your legacy? Or she is just a “trophy” wife who knows just about how to put makeup on naku-appear on the red carpet?! Au ni yule mwanamke ambae anajua kutunza nyumba na watoto and got no clue about what her husband / partner desires! Je, umeshawahi kutafakari juu ya hilo kabla ya kunyoosha mkono wako wa kuume nakusema “Yes, I do” mbele za Mungu! …………Well! Chukua notes  kutoka kwa mrehemu Ivan Semwanga. Yeye alijua (after he broke up with Zari, am just guessing)  kuwa hakuna mwanamke yeyote on this planet who will carry his legacy the way his heart desired kama Zari! Ndio maana pamoja na mahela yake yote Ivan hakuweza ku-move on wala kuzaa na mwanamke mwingine isipokuwa wale watoto aliozaa naye Zari! Sikiliza maneno ya Zari na pia angalia matendo ya Ivan utapata jibu kuwa Zari is telling the truth kuwa “Ivan knew Zari is the right person”! Na Zari anahiakikishia dunia kuwa sasa I’m going to wear Ivan Semwanga’s shoes and do it for his boys, his legacy, family, and fans!! Nasema hivi, kama hauna watoto wakubwa ambao wataguswa na jitihada na maono yako je,  does your woman / man not only knows the “game” you are in, but rather knows how to play and keep the game moving on as well?!  Au your work done will be equal to ZERO once you are no more! Its 21 century you better kutafakari na uchukue hatua!

#R.I.P Ivan Semwanga  #Zari you are the best of all!

One of Ivan Semwanga’s properties

Leave a Reply