Je, kwa Lemutuz kusema maneno haya anastahili?!

Regrann from @lemutuz_superbrand – FACT: LE MUTUZ KOKOBANGA ……NA NDAMBO ….HAHAHAHAHAHAHA……Nimewahi kusema hapa mara nyingi sana kua kuna Wabebezz wa Batazzz tu na Wabebezz wa kuoa USICHANGANYE ni tofauti na hawafanani….now tizama mke anavyofanana Thank U @officialalikiba kwa kunisaidia hili somo..ndugu zangu Wabebezzz jifunzeni hapa darasa la bure mke wa nyumbani anatakiwa kuwa kama huyu …sio sijui Analicious mara Janebosslady mara ohhh official mary..mara amina chocolate …mara queensweetlicious gademiti hamuolewi ….hahahaha …mtaishia kuchezewa tu humu Instagram na I bet U huyu Mke wala hayumo Instagram …sio wale ze gademu mtindizz nje nje yaani unaona kila kitu kabla hata ya kumsalimia HAMTAOLEWA cause hamna huruma kazi kukomoa pesa tu….I mean unamuita date linakuja nauli ya Bajaji hana lakini anataka kunywa gademu CHAMPAIGNE mara AMARULLA hajali bei wala nini mazafantazzz ….mtajioa na mamitindizzz yenu hahahahaha U know….ingawa pia kuna somo zito hapa like in USA Niggaz wakitoboa tu wanaoa wabebezzz weupe tu ….now naona kama na Bongo tunaaanza kwa mbali vijana wakitoboa wanaenda kuoa nje ya Bongo WHY? hii ni ishu ya kujadiliwa na Jamii something is wrong somewhere Vijana wetu wanapokimbilia kuoa nje ya Nchi kuna kitendawili kizito sana ni nini hasa? ….U know! …..LE MUTUZ NYE! NYE! NYE! – @lemutuz_superbrand – #regrann

Nimesoma hiyo ☝ msg ya Lemutuz kwa Instagram page yake nikasikitika halafu nikajiuliza hivi kweli mtu kama yeye kusema maneno kama haya je anastahili?! Nimesikitika siyo kwa maneno aliyo yaandika kwani hayo aliyo yaandika yana ukweli ndani yake. Kinacho nisikitisha ni kwamba hao wanawake aliowataja hapo ndio marafiki zake ambao siku zote amekuwa akipiga nao picha na kurusha Instagram!! Sijui kama hawa wanawake wanajielewa vyakutosha na kuona huu ujumbe ni wake-up call to them and stop acting like fools!! Lakini wakati huo huo kweli kati ya wanaume wote ninao waona kwa social media Lemutuz ndio mtu wa kusema maneno haya?!  Mbona yeye nasikia anakaribia miaka 60 na bado yupo single?! Ni kitu gani kinakufanya usioe katika umri huo?? Tumetangaziwa wachumba na wengine picha za vikao vya harusi tukaona mbona bado upo single?! Halafu yule mchumba wake aliyeachana naye juzi juzi si alikuwa ana hayo majina ya "nanilious" ?? au hili ni dongo kwake? ?? na, ni mwanamke gani atakayetaka kuolewa na mwanaume ambaye video zake za uchi zipo kwa social media ?‍♂️?‍♂️ Lemutuz acha "ngebe" mimi sijaona tofauti yako wewe na hao wanawake unaosema wanaweka "mtindizz" nje! Though  I do agree you are smart but your morals are questionable!!

Leave a Reply