Je, unaishi mikononi mwa Farao?

violenceKuna wakati unakuwa inlove lakini actually wewe ni kama Mtumwa aliyeko Misri…………..Umekazana na limpenzi lako li-Farao, lina roho ngumu, huku nje kuna akina Musa kibao wanajaribu kukutoa Utumwani Misri ili uingie Kaanani, nchi ya ahadi, nchi yenye maziwa na asali…………..Lakini wewe,cha ajabu, unasema ur in love na Farao, mateso yote anayokupa na kukutumikisha lakini u still think ipo siku life itabadilika na Farao atakuwa mwema! Farao hawezi kuwa mwema kamwe, na hata siku moja hata Misri ibadilikeje haiwezi kuwa na Maziwa na Asali…………..Wake up,go after your destiny,toka Misri nenda Kaanani uishi kwa raha..Mapenzi yana raha sana ukiwa Kaanani,li- Farao unaloling’ang’ania wala halikupendi na halina future na wewe. Poleni wale mnaodate na Farao, fungueni macho, Musa anawasubiri!!

Ujumbe huu umetoka kwa mdau wa Facebook.

Leave a Reply