Jokate Mwegelo katika ubora wake

screenshot_2016-10-20-13-43-00-1Napenda kuanza kwa kumshukuru Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Majani ya Chai. Alivyoniletea barua na kuniomba kuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali yao sikusita kwasababu ni mwalimu mkuu wa kipekee sana. Anaipenda kweli kweli shule anayoiongoza kuanzia walimu mpaka wanafunzi. Na leo nimeshuhudia hata yeye wanampenda sana na kumheshimu. Niko tayari kushirikiana nae kwa asilimia zote katika kuhakikisha hii shule yenye wanafunzi takribani 1300. Shule ya tatu kwa ukubwa katika wilaya ya Ilala inaboresha mazingira yake ya kazi na ya kusomea. Mwenyezi Mungu atupe wepesi na atufungulie njia tuweze kufanikisha hili. #BeYou #BeKidotified #Kidotifb_img_1476995337635She looks A-M-A-Z-I-NG in Oprah Winfrey’s voice! She’s pretty!fb_img_1476988886945Kuna siku Jokate aliuliza swali kuwa kwa muonekano wake unadhani anafaa kufanya kazi gani? Mimi nilisema angefaa sana kuwa Motivational Speaker for youths (soma hapa)……. Nafikiri hata wewe ukimwangalia hapa utakubaliana na mimi! She has a convincing body language to inspire youth to go for their dreams! screenshot_2016-10-20-16-20-58-1Keep it up Jokate! Na ubarikiwe siku zote!

Leave a Reply