alphaigogo.com
Jokate Mwegelo: Muhimu kujipanga kutumia fursa hizi zinazotengenezwa na serikali zetu hizi - alphaigogo.com
Tarehe 14/01/2018. Rais Magufuli wa Tanzania alimkaribisha Rais @paulkagame wa Rwanda, Dar es Salaam- Tanzania katika ziara ya kikazi. Katika ziara hii walirejea mazungumzo juu ya ujenzi wa reli kati ya Isaka na Kigali lakini pia reli hii itaenda mpaka Musongati- Burundi kupitia Keza. Reli iliyopo hivi sasa ni kati ya Isaka ambako kuna bandari kavu na Dar yenye urefu
Alpha Igogo