Jokate Mwegelo: USIKATE TAMAA, BADO LIPO TUMAINI

Kabla hujakata tamaa hebu jiulize ni watu wangapi wanaokutegemea? Ni wangapi walioko nyuma yako ambao wanatiwa moyo na mafanikio yako? Ni wangapi ambao wanaku-support? Ndio ujue kuwa kukata kwako tamaa kutaumiza wengi. Hata kama unahisi kuchoka hebu jitie moyo kwaajili ya hawa. Kumbuka maadamu unapumua bado unaweza kufanikiwa.  USIKATE TAMAA, BADO LIPO TUMAINI. (Luka 18:1)

#KIDOTI cc @pastor_nick_shaboka ❤

Leave a Reply