alphaigogo.com
Joyce Kiria: 09/04/2018 ni siku ya kihistoria ya kutua mzigo huo mkubwa mno wa kulea familia peke yetu - alphaigogo.com
Regrann from @joycekiriasuperwoman - Nipo na Kamanda wa Vita! Shujaa acha kabisa! Mpambanaji wa ukweli @paulmakonda • Ni fursa kubwa kwetu Wanawake wa Taifa hili tunaoteseka kutunza familia peke yetu, 09/04/2018 ni siku ya kihistoria ya kutua mzigo huo mkubwa mno wa kulea familia peke yetu, hatimae tumepewa fursa ya kupaza sauti zetu kwa Serikali yetu. Binafsi naamini Hii ndo siku ya
Alpha Igogo