Joyce Kiria: Kila mtu ana njia yake …. Kila mtu kapewa msuli wa kupambana na matatizo yake

Regrann from @joycekiriasuperwoman  -  MAISHA YANGU  BINAFSI NILIYAKUTA YAMEJAA CHANGAMOTO NYINGI, ELIMU SINA, FAMILIA YETU NI MASKNI, MIE NDO MTOTO WA KWANZA, YAANI MAISHA  HAYANA HAMASA, HAYANA MATUMAINI, NOW  NIKACHAGUA KUYAGEUZA NDO FURSA, YAANI NDO MTAJI WANGU... WEWE UNAONA NI MATATIZO MIMI NINAYAONA NI MGODI...  NILIAMUA KUPAMBANA NA HAYA MATATIZO YANGU KWA STAILI HII YASINIUMIZE KICHWA, BALI YANAPOKUJA TUU NINAYATAZAMA KWA JICHO LA FURSA! NAYAKUMBATIA NAYAONGEA KWA NGUVU ZANGU ZOTEEEE,  NAPATA NAFUU LAKINI PIA NAPATA KAZI HAHAHAHA.

UJASIRI HUU NILIOJIPA NDIO UNAONIFANYA KUWA SUPER WOMAN, NANI ATAWEZA KUPITA HII NJIA?? UNADHANI WATU HAWANA MATATIZO? KWANINI WENGI WANAYAOGOPA?? KUKUBALI UKWELI WAKO BINAFSI SIYO JAMBO JEPESI, WENGI TUNAPENDA SANA KUJIONYESHA KWAMBA TUU WATAKATIFU...

MIMI NASIMULIA MAISHA YANGU BINAFSI, SIYASIMULII YA MTU, NASIMULIA NJIA ZANGU ZENYE LADHA YA ASALI NA MWAROBAINI KWA PAMOJA KWA AJILI YA KUJIFUNZA NA KUFUNDISHA WENGINE.... THAT IS MY PATH ... NJIA ZETU HAZIFANANI ... KILA MTU ANA NJIA YAKE ... KILA MTU KAPEWA MSULI WA KUPAMBANA NA MATATIZO YAKE... PIGANA NA  YAKO.... AM SUPER  PROUD TO BE ME... I AM A SUPER WOMAN #SUPERWOMAN  - #regrann

Leave a Reply