alphaigogo.com
Kagua ATM yako kabla ya kuweka card! - alphaigogo.com
Kuna hivi vifaa vimeingia ambavyo mwizi wa kwenye ATM anaweza chomeka na kusoma maelezo ya siri ya card yako na kuchukua pesa bila wewe kujua. Nikifaa ambacho wanakiegesha kwa juu, hivyo kabla ya kuweka card yako kwa ATM hakikisha umekagua kwa kuvuta kidogo ule
Alpha Igogo