“Kama mke wa Rais anaweza kuvaa swimsuit hata mimi naweza” – Janeth Wassira

IMG_20160814_081623
Janeth Wasira akiwa vacation huko Jamaica

FB_IMG_1469659269564Juzi kati katika pita pita yangu huko Facebook nikakutana na ‘kamjadala’ fulani kuhusu picha za Janeth Wassira ambazo baadhi yake ni hizo ? hapo juu! Kuna baadhi ya watu waliona kwamba ni picha ambazo hazikustahili kuwekwa kwa Facebook kulingana  na mila na desturi ya Muafrika haswa Tanzania!! Eti yakwamba vazi lake lilikuwa sahii kutoka na mahali alipokuwa lakini hakustahili kuweka kwa Facebook!! Kunawengine hata wakajaribu kusema yeye ni mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi katika taifa letu la Tanzania hivyo picha kama hizo hazifai kuwa kwenye public!………embu soma kidogo sehemu ya mjadala huo ? kabla sijatoa maoni yangu mimi binafsi……. Screenshot_2016-08-11-21-04-13-1Screenshot_2016-08-11-21-04-36-1FB_IMG_1469659269564Hivi hii dunia ya leo ambapo kila kitu kipo displayed right infront of our eyes everywhere bado kuna watu wanashangaa mtu kama Janeth Wassira kuweka picha hizi Facebook?! Seriously! Cha ajabu nini haswa?? Hiki kizazi cha .COM bado kuna mtu atamdanganya mwanae kuwa “amenunua mtoto hospitali”!! ???? gone are those zama za uongo!! Sasa hivi ni zama za uwazi ati ??? ………Kama Janeth angeziweka hizi picha kanisani au msikitini basi naamini wengi tungemshangaa sana! Buttt! Its Facebook people!! May be lemme be more clearly, ITS HER FACEBOOK ACCOUNT holy cow!!!! Why bothered?!! Is it too hard to unfriend her?!!…………….. Halafu sikilizeni nyie viumbe, Janeth is a grown up woman, a mother for people’s sake!! Sasa baba yake anahusikaje kwenye maamuzi haya!! What’s wrong with people? ……….. Haya embu tazama na hizi halafu useme unayo jua

IMG_20160814_123042Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama akiwa anaogelea na baadhi ya watoto pamoja na wanae……….bado unashangaa?! Haya ngoja nikuonyeshe na hizi Screenshot_2016-08-14-15-15-13-1Haya huyu ni mke wa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Mrs Mengi……! Ona na hii hapa IMG_20160814_123157Kushoto ni Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama………. Na kulia ni soon to be President of America, former First Lady na mumewe Mr Clinton wakila good time wakati Mr Clinton alikuwa President of United States! michelle-obama-in-shorts-2FB_IMG_1469659269564Hiyo picha ya kati ni First Lady Michelle Obama akiwa anashuka ndani ya Air Force One kutokea Arizona alipokuwa amekwenda vacation na familia yake!…………ninachotaka kusema ni hivi ;  hakuna kosa mtu kuvaa nguo anayoipenda ilimradi amevaa mahala au sehemu inayostahili!. Kuweka picha kwa mitandao hayo pia ni maamuzi ya mtu binafsi na ujasiri wake yeye mwenyewe! rare-pic-of-michelle-obama-in-a-swimsuit-L-mcdZZpFB_IMG_1469659269564Halafu watu jinsi tunavyo tofautiana sasa! Yani mimi nachukia kuona mwanaume hajavaa shati kwenye public! NACHUKIA MNO! Yani kama hivi yupo beach naweza elewa lakini kuweka picha kama hii kwenye public to me is just nasty! Hivi wanaume hawawezi vaa vest wakiwa beach ??? anyaway, kama unakereka na mtu wewe mfute tu au mblock kujipunguzia stress!

2 thoughts on ““Kama mke wa Rais anaweza kuvaa swimsuit hata mimi naweza” – Janeth Wassira”

Leave a Reply