Kama ulipitwa: Mali’s 50th birthday bash!

Wapendwa kama ulipitwa na hii event basi ngoja leo ni TBS right! Angalia hii video ime summarize the whole birthday bash kwa muda mfupi lakini inapendeza sana. ❤ It!

Btw, narudia kumpongeza sana Linda Bezuidenhout  (LB) kwa kufungua duka la kisasa kabisa kwenye mazingira mazuri ya kuvutia ndani ya Phipps Plaza hapo Georgia! Hongera sanaaaaaa 😍💪

Leave a Reply