alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwetu! - alphaigogo.com
Siku ya leo mika zaidi ya arobaini iliyopita nilizaliwa mrembo mimi! ? Namshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kuona mwaka mwingine! Namuomba azidi kunishika mkono katika mwaka huu kama ulivyofanya mwazo! ???? Naamini nimejiandaa kadri ya uwezo wangu katika umri huu mpya. Nimesafisha uchafu karibia wote katika kila kona ya maisha yangu! Nimefanya maamuzi ambayo mimi mwenyewe nikikaa chini nasikia
Alpha Igogo