alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa mama yangu kipenzi! - alphaigogo.com
https://youtu.be/N3n2fDQtWaI https://youtu.be/ohjkiiUa9cA https://youtu.be/qUd8sdTgdcw Leo ni siku aliyo zaliwa mama yangu mzazi, kipenzi cha roho yangu. Ila kwasababu birthday yake imeangukia siku ya kazi na wajukuu wanakwenda shule basi wadogo zangu siku ya jana (Jumapili) wakaamua kum-surprise na birthday cake kama video zinavyo onekana hapo juu ?? ?? .... ukiona mahala kuna upendo basi fahamu kuna Mungu kwani Mungu ni Pendo! My mama! My
Alpha Igogo