Kheri ya siku ya kuzaliwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete!

Nakutakia kheri katika siku yako kuu! Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehema akuzidishie baraka zake, akazidi kukupa afya njema na amani nyingi moyoni! Asante sana kwa kuliongoza taifa letu la Tanzania kwa miaka 10. Ubarikiwe sana. Happy birthday baba Ridhiwani!  🙏

Leave a Reply