Kichuna Cha Kizaramo katika ubora wake!

FB_IMG_1470920310988Missy LB akifanya yake! Sidhani kama Linda atakuja kuzeeka, she’s just too far from aging! Halafu si kwa mguu huo ati! Mguu wa kuvalia vimini huu! Sio kama wengine wana viguu vya “mwendokasi” halafu bado wanataka kuvaa vimini ?? mwe! Just joking siwezi mkosoa Mungu mie, kazi yake haikosolewi kamwe!…….anyway, pendeza sana my sweet sister!

Leave a Reply