alphaigogo.com
Kowak Girls Secondary school students (Class of 95) & their teacher - alphaigogo.com
Stellah Gellan(kushoto) Yasinta (wapili kushoto), mwalimu wetu kipenzi Mr Casmir Nkuba aliambatana na mwanaye Aneth Nkuba (mtu kati) pamoja na Christian. Dhumuni la kukutana ilikuwa ni kumsalimia na kumkabidhi Ile zawadi ya Powerbank. Wapendwa wasomaji wangu, hawa ni baadhi tu ya wanafunzi wenzangu ambao ni wanafunzi waanzilishi wa Kowak Girls Secondary school, wakiwa pamoja na Mwalimu wetu ambaye alikuwa tukimuona ???
Alpha Igogo