Kutoka Facebook

Leo kutoka Facebook nimependa sana picha hii ya Future Professor-Essy, akiwa ndani ya uniform zake teyari kwa kwenda shule.  Wahenga walisema safari ya mguu moja huanzisha njingine  au kwa lugha ya kigeni wanasema “a journey of a thousand miles  begins with a single step.” Hongera sana Proffesor-Essy, usome kwa bidii na Mungu awe nawe siku zote.

Essy

Leave a Reply