alphaigogo.com
Kuwa muungwana kwa maisha yako ya baadaye na sio maisha yaliopita! - alphaigogo.com
Nimekutana na hii topic huko Instagram nikaona ni share nanyi! Inasema kuwa acha kujaribu / usije jaribu kufanya biashara na mtu ambaye mmeachana (ex) au hata kujaribu kuwa marafiki kwani ndio maana kuna mke/ mume tafuta wako ufanye naye biashara! Kuwa muungwana/ mkarimu kwa maisha yako ya baadaye na sio maisha yaliyopita! Let bygone be who she / he
Alpha Igogo