Kwa wazazi mlioko Dar tafadhali usikose #Mtoto Day Out

EVENT:    Mtoto Day Out..

TAREHE: 9/7/2017 

MAHALI: Msasani Beach Club (kawe jeshini)

UMRI:         1_13
MUDA:    Saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. 

KIINGILIO: Mtoto Tsh 5,000 mzazi bure.
Imedhamimiwa na @nmbtanzania kupitia mtoto akaunti.
Imeandaliwa na Dina Marios kupitia Mtoto Events.
Mtoto day out………Ni bonge la outing kwa mtoto wako.Michezo mbalimbali ya watoto,zawadi mbalimbali zitatolewa kwa watoto,mashindano ya kuchora,kupaka rangi,kucheza,kujibu maswali,mpira wa miguu wa beach,volley ball,kuvuta kamba n.k
#MtotoDayOut #MtotoEvents
#mtotoakaunti #mtotomagazine

Mtaarifu na mwingine baba, mama na mlezi.

Leave a Reply