alphaigogo.com
LeMutuz: cha ajabu ni wasiokuwa na akili kabisa ndio katika hii new generation wanakuwa maarufu sana na kukubalika sana na Public - alphaigogo.com
EXTRA LIVE STRAIGHT TALK:- ...Mwanamke Shujaa ...Mwanamke Jasiri ...Miss Tanzania 1999 na Balozi Maalum wa Umoja wa Mataifa Tanzania @hoycetemu ...unfortunately Dunia inapitia transition ya One Generation to another .....in our new generation ni Wadada wasiokuwa na Maadili, wasiokuwa na heshima, Wanaogombania waume za watu in the Public, wanaotembea nusu uchi, wanaojua kutukana sana matusi in the public, wasiokuwa na
Alpha Igogo