LeMutuz: DANUBE sio Chama cha Siasa au anything ni Kampuni ya Biashara ambayo inatoa ajira kwa Vijana wa Kitanzania kama 3,000 na inalipa kodi

LIVE HARD TALK:- The Art Of Business decisions ni maamuzi magumu ya Kibiashara ambayo huwa hayajali local au international Politics huwa ni maamuzi MAGUMU ya kibiashara yanayojali PROFIT kwanza sio Siasa wala anything nilitaka tu kumsaidia aliyeandika hii habari na habari zote zinazotrend kuhusiana na hii ishu ya uamuzi wa Kibiashara ….DANUBE sio Chama cha Siasa au anything ni Kampuni ya Biashara ambayo inatoa ajira kwa Vijana wa Kitanzania kama 3,000 na inalipa kodi kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Sheria ila Tanzania hatuna sheria ya kuyaamulia Makampuni ya Biashara nani wa kuwatangazia matangazo yako ya Biashara …ndio maana hatujawaamulia Yanga kusajili Wachezaji wa Bongo tu na hatujawaamulia Simba kusajili wachezaji wetu tu wa Bongo ….kama Dunia ingekuwa na mawazo mgando kama huyo muandishi juu ina maana Samatta asingeweza kwenda kucheza Ulaya kwani kule Belgium hakuna wachezaji? …guys kabla hamjaandika mawazo yenu finyu muwe mnafikiria kwa upana kuwa hizi Social Media zinasomwa Dunia nzima na hasa huko Nje ya nchi sasa wakisoma mawazo madogo kama haya watatushangaa sana kwamba eti kuna wananchi Tanzania hawajui maana ya Global Community & Outreach …DANUBE wameamua maamuzi ya kibiashara na wanazo Justifications as a FACT kwamba @zarithebosslady & @diamondplatnumz ndio Celebrities maarufu sana Tanzania sasa hivi na hata East Africa nzima wao wawili Combined wana wafuasi 7M humu Instagram HAKUNA WENGINE….sasa ungekuwa wewe unamiliki hiyo biashara unasema utampa yule Miss Tanzania asiyejitambua anayegombana mpaka na Kamati ya Miss Tanzania wenyewe na ana Wafuasi wasiozidi 500 tu ndio awe Balozi wako wa Biashara kama DANUBE BIG BRAND? au Super Couple with 7 Million Followers? hahahaha ….I mean kuna mambo yanachosha sana humu Instagram sometimes ila tutaendelea kuwaelimisha tu kwamba haya mambo ya mateam yenu Uchwara msiyaingize kwenye biashara za watu cause Yanga na Simba hawajavunja Sheria kuwasajili Tshishimbi na Okwi so hata DANUBE hwajakosea kumpa deal Zari ni maamuzi ya Business…I hope nimewasaidia wengi at large! …na this topic is CLOSED! – le Mutuz

 Tatizo la watu wenye makelele na muda wa kuandika ujinga kama huyo kaka / dada ni watu ambao biashara yao kubwa kukaa kwenye social media kutukana watu na kueneza chuki! Hamna wanachokijua zaidi ya matusi! Inasikitisha sana hii generation itakayokuja kutawala taifa letu kwani wengi wao akili zao ni za “kupewa”! Hamna kitu wanaweza fikiria kwa akili yao wenyewe ili kutofautisha Tui la Nazi na maziwa!! So sad!………..You go Zari!!

Leave a Reply