alphaigogo.com
LeMutuz: Mambo bado kabisa mpaka mtakapoelewa kuwa SERIKALI YA AWAMU YA TANO ni serious business - alphaigogo.com
Regrann from @lemutuz_superbrand - FACT: Is walipokutana jana yaani ... Le Commandant Field Marshall RC @paulmakonda na KAKA YAKE NANILIHIU LE KIGAGULAZZZ Mama Maandamano Hewa waliongea kwa masaa 4 nonstop wakiwa wamejifungia ofisini kwa Le Commandant WAWILI TU! ....ni FACT ....swali la msingi hapa ni je WALIONGEA NINI MUDA WOTE HUO WA DAKIKA 240? ...Kwani Kaka anajua nini kuhusu
Alpha Igogo