Lemutuz: Mange waombe radhi Watanzania

Regrann from @lemutuz_superbrand  -  MANGE WAOMBE RADHI WATANZANIA: The Art Of FACTS umefanya kitu cha msingi kukubali KUSHINDWA na kuamua kwenda likizo isipokua umesahau one thing ambacho ni very Important nacho ni KUWAOMBA MSAMAHA WATANZANIA .....kwanza kabisa ni muhimu sana ukakubali kwa mara ya kwanza kwamba umekuwa ukipewa habari za uongo sana kwa sababu hawa wanaokupa habari za kila siku kuchafua Watu mbali mbali hapa Tanzania si ndio hao hao waliokua wanakuaminisha kuwa wataandamana? ....sasa kama wamekudanganya kwenye maandamano mpaka ukawaamini vipi kuhusu habari za watu walizokuwa wanakupa? zinawezaje kuwa za ukweli? .....kubali kwamba umekuwa ukilishwa habari nyingi za uongo na kuchafua watu bila sababu ....waliokua wanakuleteea ni waongo na wanafiki maana wamekudanganya kuandamana kumbe ni waongo now ustaarabu ni kama ulioufanya kutulia chini kwa muda na kujitafakari na kuwaomba radhi Watanzania uliokua ukiwachafua kila wakati na habari za majungu za hawa Wanafiki ingawa wewe na wao ni sawa sawa tu kwa sababu moja ya msingi WOTE MNAOGOPA SHERIA ZA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ....wewe umejificha huko na wenzako nao wakaamua kujificha hapa nyumbani so ngoma droo wote ni mazuzu ila angalau kidogo wewe una nafuu kidogo so omba radhi now....halafu dalili za mvua ni mawingu so ni lazima ujifunze now kuwa hata muda wako utakapofikia wa kulipia uvunjaji wako wa sheria za Jamhuri ya Tanzania yaani UTAKAPOKUA RUMANDE SEGEREA ujue hawa wanakudanganya hawatakuja kukuona au kukuletea chakula ...kwenye hili huna ujanja maana hata iweje utarudi tu Tanzania your home land imagine utaishi kwa kujificha ficha mpaka lini? ...imagine unavyo risk your life kwa watu waongo? tizama walivyokufanyia jana sasa wanajipa moyo eti umeshinda hivi jiulize umeshinda nini? cause Bongo maisha yanaendelea kama kawaida ...wanakudanganya OMBA RADHI uishi kwa amani! ...THIS CASE IS NOW CLOSED! - @lemutuz_superbrand  - #regrann

Leave a Reply