alphaigogo.com
Makamu wa Rais asherekea siku yake yakuzaliwa na watoto yatima! - alphaigogo.com
Muheshiwa Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan siku ya Jana ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa. Katika kuadhimisha siku hiyo muhimuhi Makamu wa Rais alijumuika na watoto yatima wa kituo cha Mtakatifu Gaspar kilichopo mjini Dodoma na kula nao chakula cha jioni. Kwa kupita account yake ya Instagram Mh. Makamu wa Rais alisema
Alpha Igogo