alphaigogo.com
MALENGO YA JUKWAA LA WALEMAVU TANZANIA. -na Peter Sarungi - alphaigogo.com
Nitumie fursa hii kutoa tafsiri ya katiba juu ya Malengo yake kwa kufuata Ibara ya II.C. Malengo hayo yatajumuisha yafuatayo. Jukwaa litasimama kama sauti ya kuwakilisha maoni na mapendekezo ya watu wenye ulemavu. Kusimamia maoni na mapendekezo yanafanyiwa kazi katika vyombo vya serikali, mashirika, almashauri na taasidi mbalimbali wakati wa kuunda sera na sheria katika jamii. Kuratibu vikao, mikutano na makongamano ya
Alpha Igogo