Maneno ya kutakafari!

FB_IMG_1470769380875Tafakari juu ya marafiki walio kuzunguka! Kuna umri fulani ukifika kama kweli wewe umepevuka kiakili lazima haya maneno utayawaza tu! Je, kunafaida gani kuwa na marafiki zaidi ya kumi ambao hakuna kitu cha maana mnaweza fanya au ongea ili kuboresha maisha yenu au kusaidia maisha ya mtu fulani zaidi ya starehe au na umbea tu?! Umri huu nilionao sihitaji marafiki wa kupiga story tu kwani hao nilionao wananitosha. Kama urafiki wetu haunisaidii kua mtu mwema zaidi ya jana (iwe kiuchumi, kiroho, au kijamii) basi huo urafiki hauna tija, na wala siutaki!……Tafakari!

Leave a Reply