Manhood!

Wow! My brother! Sitaki kuamini kuwa ni wewe lakini kwakua naamini Mungu huwa anatenda miujiza kwa wale wamuaminio basi inanibidi nikubali kuwa ni wewe!! Kweli Mungu hamtupi mja wake! Siye tuliokuwa wote tuliokuona those days ya kupimisha mizani, dah! Hatuna budi kushuhudia ukuu wa Mungu kwani tumeuona mkono wake kupitia familia yenu! Safi sana! 
Nabaki najiuliza what if ningekuwa nakudharau wakati hizo? Hivi leo hii ningeweka wapi sura yangu! Maana siku hizo sisi tulikuwa tunaonekana kama moja ya familia inayo jiweza pale mtaani kwetu! Yani Kwa wengine Sisi tulikuwa kama familia ya tajiri fulani! Wow! Mungu atukuzwe kwa wazazi wangu waliotulea kwa kuheshimu na kupenda masikini kwani ya Mungu ni mengi! ......... Asante kwa kutoa support yako kwa hii blog! (BinZubeiry ) Be blessed always!

Leave a Reply