Maria Makonda: Kamwe sitakuacha wala kuinamisha sura yangu na moyo kusononeka juu yako

  @Regranned from @nikypal8585 - Asante Mungu kwa wema wako na fadhili zako juu ya maisha yangu mimi na Mume wangu kipenzi nipendezwae nae kila siku. Nakushukuru Mungu kwa ajili ya zawadi ya mume wangu huyu kwani amekuwa rafiki na mlezi kwangu hata kama kunachangamoto nyingi ktk maisha kamwe sitakuacha wala kuinamisha sura yangu na moyo kusononeka juu yako. Wewe ni furaha yangu kila siku? ninakuombea sana kila gumu na baya lipite mbali kwani hata Mungu aliye mbinguni anajua mlinzi wako na mke wako wa pekee yuko kazini kumwita juu ya maisha yako. Wewe ni zawadi na moyo wangu hauna kipingamizi. Heri ya kuzaliwa roho yangu ,mume wangu mwenyewe nakupenda sana???❤❤????❤❤❤? - #regrann. Happy birthday brother Paul Makonda! Ubarikiwe sanaaaa! Much ❤

Leave a Reply