alphaigogo.com
Matukio katika picha - alphaigogo.com
Hili nitukio la harusi limetokea jana huko Tabata, Dar, Tz . Nawafahamu vizuri sana wazazi wa bwana harusi lakini sina maelezo mazuri ya kuwapa kuhusu maharusi kwani siwafahamu na picha nimetumiwa tu! Hivyo naomba niwakilishe kwa kuwapongeza maharusi....... Nawapongeza maharusi kwa kufunga pingu za maisha na nawatakia maisha mema. Mrs Awiti L.C. and Ms Doreen L.C. Awiti dancing their
Alpha Igogo