Matukio katika picha: Oprah Winfrey na timu yake

screenshot_2016-09-24-13-23-17-1fb_img_1472436063790Nimeipenda hii picha ya Oprah Winfrey na timu yake wakiwa teyari kwenda kushuhudia ufunguzi wa makumbusho ya historia ya watu weusi hapa Marekani! Tukio hilo lilitokea jana mjini Washington D.C. ambapo makumbusho hiyo imejengwa………… Nyuma ya Oprah ni mpenzi wake (30+ yrs boyfriend / lover) Stedman Graham, wajukuu wa Stedman (walio vaa pink, and white dress), Oprah longtime best friend Gayle King (kulia) pamoja na Kirby ambaye ni binti yake Gayle King and Oprah’s guardian daughter…………. Walipendeza sana!

Leave a Reply