alphaigogo.com
Mc.Pilipili: HUU NI UKICHAA WA MAPENZI - alphaigogo.com
Regranned from @mcpilipili - HUU NI UKICHAA WA MAPENZI. ?Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe. ? Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu. ? Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa. ? Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu. ? Kusema wanawake wote sawa. ? Kuendelea kuchagua wanaume wakati unajua waoaji siku hizi wachache. ? Kuishi na mpenzi wako kabla
Alpha Igogo