alphaigogo.com
Mh. Paul Makonda: Endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea kwani mimi ndiye mwanao wa kwanza hapa duniani. - alphaigogo.com
Namtukuza Mungu kwakunipa Maria, umefanyika baraka na furaha ktk kila nyakati nilizopitia,hadi kufikisha leo miaka 6 ya Ndoa.hujawahi hata siku moja kukata tamaa pale ambapo Dunia ilikata tamaa, hujawahi kusahau upendo wangu hata pale ulipokuwa mbali na familia yako. Umekuwa mnyenyekevu, mpole na mpenda Amani. Mwisho wa yote umenivumilia Kwa nyakati zote huku ukiniombea Kwa machozi na kufunga ili Mungu
Alpha Igogo