alphaigogo.com
Mother and daughter moment! - alphaigogo.com
Mama na mwana wakiwa katika mazingira safi kabisa ya Kisumu International Airport, hapo nchini Kenya! Hii Airport kwa muonekano tu wa nje inaonekana ni safi zaidi ya ile ya kwetu pale Bongoland! Japo hii ipo nje ya mji wa Nairobi lakini inavutia kwa usafi sana........Ni nini haswa tatizo letu sisi Watanzania! Maana hata mazingira yatengenezwe mazuri vipi haichukui muda utashangaa
Alpha Igogo