Mother and daughter moment

FB_IMG_1464207557751What a lovely picture of Wema and her mother! Priceless! Nani kama mama! Kuna binamu yangu mmoja siku ya msiba wa shangazi yangu alilia sana akasema maeno fulani kwa kijaluo ambayo maana yake ni “Mama yako ni mama yako tuu hata kama ni punguani ni mama yako” ……

Hakunaga kama mama! Na mtoto kwenye macho ya mama yake ni mtoto tuu hata kama dunia yote itamuona si mtoto lakini kwa mama yake ni mtoto mwenye dhamani sana! I truly love the unconditional love that mama Sepetunga has shown to her daughter! She always by her side regardless of whatever people say or has been saying about her daughter! Huyu mama ni mfano mzuri sana wa kuigwa katika jamii! Mtoto wako ni wako tuu hata kama watu wanamuona hafai wewe kama mzazi huwezi mkana mwanao! Hating her isn’t a solution but true love conquers all! Ubarikiwe sana mama Wema!……. Btw, who are we to point our fingers on Wema?! 

Leave a Reply