alphaigogo.com
Mpaka kifo kitakapo tutenganisha!…….. R.I.P Mr and Mrs Ngombale Mwiru! - alphaigogo.com
Pichani hapo juu ni sura ambazo naamini zinafahamika na watu wengi kwenye jamii ya taifa la Tanzania. Ni marehemu mzee Kinguge Ngombale Mwiru na mkewe marehemu Peras Ngombale Mwiru! Wanandoa hawa walianza maisha ya ndoa wakiwa vijana na wamedumu kwenye ndoa yao mpaka kifo kilipo watenganisha kwa jumla ya siku 28! Sasa wote wapo kaburini wamelala usingizi wa mauti!
Alpha Igogo