Mtoto Day Out

“Mtoto Day Out…..itakuwa tarehe 9/7/2017 siku ya jumapili.

Mpendwa mzazi,Mlezi hifadhi hiyo tarehe.Kama unavyoendaga wewe kwenye matamasha mbalimbali basi hili ni maalum kwa mtoto wako hakikisha unamtendea haki…asikose!

Basi hapo unawaza kiingilio kitakuwaje????yaani naona hata aibu kukitaja maana utaona huyu Dina Vipi mbona kiingilio kidogo hivyo???Wazazi itakuwa buree ila utamlipia mtoto wako.

NMB Tanzania wametuwezesha nitakusimulia mengi ya muhimu kutoka kwao.

Kwanza nikuulize umesikia kuhusu Nmb mtoto akaunti?je unafahamu unaweza kumfungulia mtoto wako akaunti toka apozaliwa?je mwanao anayo akaunti uliyomfungulia?Je unafahamu kwa tsh 5,000 tu unaweza kumfungulia mtoto wako akaunti na kila mwezi ukawa unaweka tsh 5000 kama ndio uwezo wako na zaidi kama upo vizuri???
#MtotoDayOut #MtotoEvents
#mtotoakaunti #mtotomagazine”~~~~~~~Dina Marios

Leave a Reply