alphaigogo.com
Mwanamke wa Shoka 2018: Jiamini, Jitambue, Jikubali, Chapa kazi, Songa mbele - alphaigogo.com
Regrann from @dinamarious - Sio kila jambo ni baya....wakati mwingine jambo zuri huanza kama baya....lakini baadae linakuja kukaa sawa katika uzuri wake unaostahili. Mwanzo wako unaweza kuwa mbaya lakini ikaja kuwa uhondoooooo. Changamoto zako zinaweza kuwa ngumu lakini kumbe baraka zako na mafanikio yako ndani ya changamoto hizo. Inapofika mwezi wa tatu shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake duniani huanza.Kubwa ni kusherehekea
Alpha Igogo