Mwanamuziki wa Kihaya mwenye asili ya “Donald Trump”!

@Regranned from @abelamusic – OMUKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώphoto by my bro @ta_rumanyika – #regrann
Β  Katika pita pita yangu huko Instagram nikakutana na huyu mwanamuziki wa Kihaya mwenye asili ya "Donald Trump'' πŸ˜‚πŸ˜‚Β  hapana chezea Wahaya siyo watu wa spoti spoti ati πŸ™ˆπŸ™ˆΒ  wenyewe mambo yao ni ya kimataifa tu kama ilivyokuwa magonjwa yao hayana tiba ndani ya Tanzania dawa zao lazima ziagizwe nje ya nchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanajua kuringa hawa watu πŸ™ŒπŸ™ŒΒ  Β  Β Mzuri eeh! Anaitwa Abela, Instagram page yake ni "Abelamusic" embu follow her ukamsikie mwenyewe.Β  Mie nimempenda sana, yani pamoja na kwamba ana ishi Marekani lakini anakwenda mpaka kwao Bukoba (naona baba yake ndio Muhaya) kusalimia ndugu zake, ana andika Kihaya bila shaka atakuwa anakiongea, huwezi amini anakula mpaka wale "funza wa Kagera" a.k.a "Senene" she is no Diva at all! Very down to earth just by looking at her pictures you can tell all!! Natamani nimjue zaidi! Pia na mama yake mzazi natamani nimjue ili aniambie ilikuwaje akamlea hivi maana wamama wengine mmh! I'm just saying, no judging πŸ€”πŸ€”πŸ€” maybe I'm judging πŸ˜‚πŸ˜‚ ..........Abela if you happen to read here please get in touch with me 😍😍

Leave a Reply