Mwenyekiti wa Dr. Ntuyabaliwe foundation asaidia kugawa vitabu mashuleni!

Mwenyekiti wa Mfuko wa Dr Ntuyabaliwe Mrs Jacqueline Mengi

Reposted from @j_n_mengi Yesterday I as the chairperson of @drntuyabaliwe_foundation had the pleasure of attending the launch of books for English Medium schools as well as Braille books for blind children organized by Tanzania Institute of Education. It’s a great step for the betterment of the education of our children and we @drntuyabaliwe_foundation congratulate Tanzania Institute for Education @taasisiyaelimu and our Government for this very significant achievement. – #regrann

Hongera sana Jacqueline kwa kufanya kazi za jamii! Sasa hapa ndio mahala pako pa.

kujinadi na kuonyesha “woman power”! This is your “THRONE” babe! Go girl and make your family proud! Kule kwa IPP na Bonite na mazaga zaga yao yote waachie wenyewe. Wewe kua sehemu yao lakini let them be the front runners! Kuwa sehemu yao kwani ni part of the Mengis’ but at the same time you are not the Mengis’ 😍😍 (nafikiri unanipata my dear). Wewe uliolewa na mzee wetu Dr Mengi na una watoto ambao ni damu ya mzee Mengi lakini kutokana na mazingira ya mambo usijiweke mbele.

Kazi nzuri na hongera sana!

Leave a Reply