New song: I miss you by Lady Jaydee

Japo hakuna ninaye m-miss, am happy with my life now as I just”dodged” the bullet ??  …….. Wimbo mzuri sana, ni tofauti na tulivyo mzoea Lady Jaydee na nyimbo zake za nyingine. Huu ameuwimba kiupole zaidi (slow motion). Video ni nzuri sana. Kiukweli huwa napenda uvaaji wa Lady Jaydee kwenye video zake. Siyo mtu wa kujiacha uchi! Video zake mnaweza angalia watu wa rika zote na mkawa comfortable! ……kazi nzuri sana!

Leave a Reply