alphaigogo.com
Nguvu iliyowekwa ndani ya mwanamke inaweza kumpa furaha na amani kila mwanaume atakaye ijua nguvu hiyo! - alphaigogo.com
IFIKE MAHALA WANAUME TUWAHESHIMU WANAWAKE KWA JINSIA YAO na sio kuwapa kipaumbele kwa haja zetu za ki mwili, Mwanamke hatajwi kama kiburudisho cha Mwanaume, Mwanamke anatajwa kuwa UBAVU WA MWANAUME... Mchukulie Mwanamke kuwa sehemu ya Maisha ya kila mwanaume aliye timilifu
Alpha Igogo