alphaigogo.com
Nilipenda hii…..! - alphaigogo.com
Unajua zawadi sio lazima iwe material things au kitu cha bei kubwa eti ndio iwe na thamani! Kitu chochote kinachoweza mfanya mtu ajione kuwa unamthamini na kujali uwepo wake basi kinafaa kuwa zawadi! Basi hii ndio ilikuwa Mother's Day gift / msg ya mdogo wangu Magreth kwa mama! Was just a simple msg ambayo inaleta kumbukumbu nzuri ya mambo yaliotekea
Alpha Igogo